Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya nne

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya nne
  Riwaya za Mashia juu ya upotoshwaji wa Qur’ani Aya za Rajmi, kumnyonyesha mkubwa zimefutwa katika Qur’ani M/mke kumnyonyesha M/mme mkubwa kiumri ili kuondosha kizuizi cha uajnabi baina yao Aya 200 za Surat Ahzaab ziko wapi? Sura mbili za Muawwidhatayn si sehemu ya sura za Qur’ani Bismillahi… si sehemu ya Aya za Qur’ani. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10384-f-sawahili.flv ...

Ayatul Kursi (part 1)

Ayatul Kursi (part 1)
Ayatul Kursi Hotuba hii inaeleza umuhimu wa ayah hii tukufu inayopatikana katika suratul Baqarah. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10359-f-sawahili.flv ...

Ayatul Kursi. (part 2)

Hotuba hii inaeleza umuhimu wa ayah hii tukufu inayopatikana katika suratul Baqarah http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10360-f-sawahili.flv ...

Ayatul Kursi. (part 3)

Hotuba hii inaeleza umuhimu wa ayah hii tukufu inayopatikana katika suratul Baqarah http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10361-f-sawahili.flv ...

Ayatul Kursi. (part 4)

Ayatul Kursi. (part 4)
Hotuba hii inaeleza umuhimu wa ayah hii tukufu inayopatikana katika suratul Baqarah http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10362-f-sawahili.flv ...

Sherhe ya Hadithi

Sherhe ya Hadithi
Kwa jina la Allah, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu Kinachokuja hapa ni sehemu ya hadithi za Bwana Mtume Muhammad SAW na Ahlul Bayt Watoharifu AS zilizojaa johari za balagha na ufasaha ambazo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezichagua kutoka katika vitabu vyenye itibari (vyenye kutegemewa) kwa ajili ya kufungulia darsa zake za khariji za fikihi na kuzifafanua na kuzichambua kwa muhtasari. Kwa vile lengo letu ni kutoa faida zaidi, tumeona ni bora kwanza tuzilete baadhi ya darsa hizo katika ukurasa huu wa Sherhe ya Hadithi na baadaye kila wiki mara moja au kila siku katika ukurasa wa mbele katika siku za usoni. Sehemu ya kwanza ya darsa hizo ambayo ni hadithi zenye nasaha za Bwana Mtume SAW, zimechaguliwa kutoka katika kitabu cha Tuhafu 'l-Uqul kwa ajili ya wapenzi wa Mtume Muhammad na Ahlul Bayt wake (rehema na baraka za Allah ziwe juu yao). ...

Ayatul Kursi. (part 1)

Ayatul Kursi. (part 1)
Hotuba hii inaeleza umuhimu wa ayah hii tukufu inayopatikana katika suratul Baqarah. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10359-f-sawahili.flv ...

MAANA YA AYA YA 97 NDANI YA SURATUL-BAQARAH

MAANA YA AYA YA 97 NDANI YA SURATUL-BAQARAH
TARJUMA YA AYA HIYO WENGINE (BAADHI TU) HUSHINDWA KUIELEWA HASA WALE WAKRISTO NA KUITUMIA AYA HIYO KAMA SHUBHA WAKIDAI KUWA QUR’AN TUKUFU IMETEREMSHWA NA ADUI SHETANI KWA MTUME (S.A.W.W) AMBAYE NI ADUI WA JIBRAIL (A.S).TARJUMA (AU TRANSLATION) INAYOWACHANGANYA MAADUI WA UISLAM KUNAKO AYA HIYO TUKUFU NI HII HAPA:”Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur’ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.” UFUATAO NI UFAFANUZI KUHUSU TAFSIRI AU MAANA ILIYOKUSUDIWA KATIKA AYA HIYO TUKUFU: AYA INASEMA HIVI: قُلْ مَنْ کانَ عَدُوًّا لِجِبْریلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلى قَلْبِکَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقاً لِما بَیْنَ یَدَیْهِ وَ هُدىً ...

HADITHI TUKUFU YA MTUME MUHAMMAD S.A.W.W

HADITHI TUKUFU YA MTUME MUHAMMAD S.A.W.W
Mtu mmoja kutoka katika ukoo wa Tamimi anayeitwa Abu Umayya, alimjia Mtume (s.a.w.w) na kumuuliza Ewe Muhammad! , walingania watu kitu gani?. Akamjibu: “Ninaita kwa Allah kwa ujuzi wa kweli, mimi (nafanya hivi) na (kila) wanaonifuata.” Nawalingania watu warudi kwa Ambaye ukipatwa na dhara ukamwomba, Yeye Hukuondolea. Ukimwomba Akusaidie nawe u katika dhiki, Yeye hukusaidia. Ukimwomba nawe u katika ufukara, Yeye Hukutajirisha.(Abu Umayya) akasema tena: “Niusie ewe Muhammad” Mtume akamwambia: “Usiwe ukikasirika.” Abu Umayya akamwambia: “Niongeze.” Akaambiwa: “Waridhishe watu kwa unachokiridhia nafsi yako.” Akasema: “Niongeze.” Akaambiwa:”Usiwe ukiwatusi watu usije ukajiletea uadui.” Akasema: “Niongeze.” Akaambiwa tena: “Usiache kutenda mema kwa wenyewe.” Akasema: “Niongeze.” Akaambiwa: “Wapende watu nao watakup ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.