Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya kumi na nane

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya kumi na nane
-         Qur'ani kuwa ni Muujiza. -         Miujiza mine ya qur'ani. -         Baadhi ya wajiha za miujiza ya Qur'ani. Namna nyingine za miujiza. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-11164-f-swahili.flv ...

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya kumi na saba

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia  Sehemu ya kumi na saba
-         Hekima ya Mtume kuoa wake wengi. -         Ndoa maridhawa. -         Wake wengi. -         ndoa za Mtume. -         Majibu yanayopingana. Malengo ya Mtume kuoa wake wengi. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-11163-f-swahili.flv ...

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya kumi na saba

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia  Sehemu ya kumi na saba
-         Hekima ya Mtume kuoa wake wengi. -         Ndoa maridhawa. -         Wake wengi. -         ndoa za Mtume. -         Majibu yanayopingana. -         Malengo ya Mtume kuoa wake wengi. ...

Sahaba sehemu ya pili

Sahaba sehemu ya pili
-Hatima ya kushangaza juu ya nadharia ya uadilifu wa Masahaba wote. -Vita vitatu na vifo zaidi ya watu 150; Nani mkosaji?. -Waliomuua Uthman ni masahaba; je! Ni waadilifu?. -Masahaba katika Qur’an ; Waliokimbia vita, Wanafiki, katika matukio ya sadaka, waovu dhahiri, na Waongo. -Miaka sabini alaaniwa Ali (a.s) kwenye majukwaa misikitini -Kwanini tunafanya utafiti kuhusu masahaba? http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10479..f.sawahili.flv ...

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK/ Sehemu ya 19

Mtume (s.a.w.w) baada ya kuufikisha vyema ujumbe wa Mwenyeezi Mungu (s.w) au ile amana aliyopewa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kuifikisha kwa waja wake, kilichofuatia ilikuwa ni kuelekea kwa Mola wake Mtukufu ambapo Allah (s.w) aliichukua Roho yake Mtume (s.a.w.w) uchukuaji wa upole na wa taratibu kabisa,kwa khiari,kwa mapenzi na kwa kuridhia kwake (s.a.w.w). http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-6485..f..sawahiliok.flv   ...

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK/Sehemu ya 20

Miongoni mwa sifa safi na bora na za kipekee za Qur’an Tukufu ni kwamba Qur’an hii ni Nuru inayomeremeta, na ni Mwanga utoao mwangaza, na ni yenye bayana, hoja, na dalili zilizokuwa wazi.Ni Kitabu kinachofichua siri za batini zisizokuwa dhahiri na kuziweka wazi, ikiyabainisha mambo yote yaliyofichikana.Si hilo tu bali dhahiri yake pia ipo wazi na ni bayana.Kiasi kwamba wafuasi wa Qur’an Tukufu wenye kufuata amri zake na makatazo yake na kuiweka katika maisha yao wamekuwa ni sehemu ya kufanyiwa au kuonewa wivu na walimwengu wafuasi wa dini zingine.   http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-6487..f.sawahiliok.flv ...

Sera za maisha ya Imam Hussein Sehemu ya pili

-Uhasama wa Ahlul bayt na utawala dhalimu na fisadi. -Kwanini Imam Hussein walimuacha peke yake katika viwanja? -Sababu za kuporomoka utawala wa Banii Umayya -Nafasi ya Imam Hussein (a.s) katika mapinduzi ya wakati wake   http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10686-f-sawahili.flv ...

NI UPI USHAHIDI WA KUZALIWA KWA IMAM ALI NDANI KA’ABA TUKUFU?

NI UPI USHAHIDI WA KUZALIWA KWA IMAM ALI NDANI KA’ABA TUKUFU?
Je, yawezekana kugavia nyaraka ambazo huashiria kuzaliwa kwa Imam Ali (a.s) katika Ka'abah hiyo? Imetajwa katika historia na katika hadithi kwamba yeye (a.s) alizaliwa katika katikati ya Kaaba siku ya Ijumaa, tarehe kumi na tatu ya mwezi wa Rajab, na kuwa fadhila hizi Mwenyezi Mungu amezizitaka ziwe makhsusi kwake, si kwa yeyote aliyekuwa kabla yake na wala baada yake, na imeelezwa hivyo na idadi kubwa ya maulamaa, na wasimuliaji wa athari, na wakapanga katika mashairi na waandishi, na hivyo zimeenea kwa Mashia wa Ahlulbayt kwa sana, lakini pia imepokelewa kwa sana katika vitabu vya wasio Mashia. Alhaakim katika kitabu chake [al mustadrak]: »Zimefikia habari katika riwaya mbalimbali ya kuwa; Bibi Fatima bin Asad, alimzaa Amirul Muuminiin Ali bin Abutalib (Mungu autukuze uso wake) katika pango la Ka’aabah«. Pia ameweka bayana kuwa Ali (a.s) ndiye wa pe ...

DHULMA KWA MWANAMKE KABLA YA UISLAM

DHULMA KWA MWANAMKE KABLA YA UISLAM
Dhulma kwa mwanamke katika ulimwengu wa kabla ya Uislam imegawanyika katika vipindi vya aina mbili: kipindi cha uhayawani ambacho mwanamke hakutambulika kama mwanadamu na hatimaye kuamiliana naye kwa ukali wa hali ya juu. Na miongoni mwa mikingamo mikubwa iliyomsibu mwanamke, ilikuwa ni mwanaume kumuuza au kumkodisha kwa mwanaume mwingine. Kipindi cha tamaduni za kale za kigiriki, Misri, Roma pamoja na tamaduni za Irani kwa mwanamke hazikumteulia haki yoyote ile ya kimsingi wala ya kijamii, naye alitambulika kuwa ni mfuasi wa mwanamke (Yaani; Kila aliamualo mwanaume juu yake basi yeye hufuata na kutii matakwa ya mwanaume). MWANAMKE KATIKA BARA LA UROPA: MWANAMKE KATIKA MILA NA TAMADUNI ZA KALE ZA UGIRIKI NA ROMA: Katika tamaduni za Ugiriki mwanamke alihesabika kuwa ni bidhaa ya kibiashara kama bidhaa nyingine, ambaye alikuwa akiuzwa na kununuliw ...

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya kumi na saba

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia  Sehemu ya kumi na saba
-        Matukio ya Buhayraa imefahamika kwamba Mtume amekuwa je! -         Kuua Mitume na Mabanii wa Mungu: -         Kuwapinga Mitume na kuwauwa: -         Bishara ya ujio wa Mtume:     http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-11147-f-swahili.flv ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.