Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Historia kwa muhtasari kuhusu Muqawamah wa Lebanon-Hizbollah-na Malengo ya kuasisiwa kwake

Historia kwa muhtasari kuhusu Muqawamah wa Lebanon-Hizbollah-na Malengo ya kuasisiwa kwake
HISTORIA FUPI KUHUSU HIZBULLAH,MUQAWAMAH WA LEBANON,MALENGO YA KUASISIWA KWAKE.JE,UGAIDI NI MOJA YA MALENGO YA HIZBULLAH KAMA WASEMAVYO MAADUI WA HAKI AU LA?!.JE,HIZBULLAH WALISHA KUMBWA NA VITENDO VYA UGAIDI ?!.JE,KUNA DALILI ZOZOTE KWAMBA  HIZBULLAH IMEFANIKIWA KATIKA MALENGO YAKE YA KUASISIWA KWAKE ?! ——————————— KARIBU NDUGU MDAU KATIKA MAKALA HII MURWA UPATE UFAFANUZI WA YOTE HAYO YALIYOASHIRIWA HAPO JUU. Hizbollah ni kundi la Muqawamah linaloundwa na (Mashia) wafuasi wa Ahlul-bait (a.s) wanaopatikana katika Jamii ya Lebanon.Kundi hili MWANZONI KABISA LILIUNDWA NA  WANAHARAKATI WA KISHIA LAKINI KWA SASA LINAWAJUMUISHA WAPIGANIA HAKI WOTE WA KIISLAAM WA LEBANON MASHIA KWA MASUNII NA HATA WASIOKUWA WAISLAAM  WA NDANI YA LEBANON PIA NI MEMBERS WA HIZBULLAH. Kwa sasa MUQAWAMAH WA HIZBULLAH unaongozwa na Sayyid Hasan Nasrullah ...

Amali Zilizo Bora ya 7

Amali Zilizo Bora ya 7
Assalaamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya saba ya makala hizi fupi fupi za “Amali Zilizo Bora” ambazo ndani yake huwa tunakunukulieni baadhi ya hadith zinazozungumzia amali zilizo bora kabisa kwa mja ambazo zina thawabu nyingi kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya mafanikio ya duniani na Akhera. Miongoni mwa amali hizo ni kuwatendea mema ndugu na jamaa. Tunaanza moja kwa moja kwa hadith kutoka kwa mbora wa viumbe kwa umbo na kwa tabia, Bwana Mtume Muhammad SAW iliyomo kwenye vitabu vya Sheikh Swaduq vya al Aamaal na ‘Uyunu Akhbarur Ridha kwamba Bwana Mtume amesema: من أفضل الأعمال عند الله إبراد الأکباد الحاره وإشباع الأکباد الجائعه، والذی نفس محمد بیده لا یؤمن بی عبد یبیت شبعاناً وجاره ال ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.