Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Waislamu Duniani 1437 Hijria

Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Waislamu Duniani 1437 Hijria
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Waislamu Duniani 1437 Hijria     Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu na muhimu mno kwa mnasaba wa kuingia katika msimu wa Hija ya Kiibrahimu kwa ajili ya ndugu zake Waislamu wa kike na wa kiume kote ulimwenguni. Ujumbe huo umesambazwa mwaka huu katika hali ambayo, kutokana na vikwazo na vizuizi vingi vilivyowekwa na watawala wa Saudi Arabia, Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshindwa - mwaka huu - kwenda kutekeleza ibada hiyo tukufu. Katika ujumbe wake wa Hija wa mwaka huu, Ayatullah Udhma Khamenei amesisitiza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu iwe ni tawala au wananchi Waislamu, wanapaswa wawatambue vyema watawala wa Saudia na wautambue uhakika hatari na mchungu na ukosefu wao wa imani na kutawaliwa watawala ha ...

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya ishiri na moja

Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya ishiri na moja
-         Miujiza ya Mtukufu Mtume. -         Miujiza ya Mtume katika Qur'ani. -         Israa na Miiraji. Kupasuka kwa Mwezi vipande viwili. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-11169-f-swahili.flv ...

Uwahabi chimbuko la Uyahudi

Uwahabi chimbuko la Uyahudi
Ulaghai wa Makafiri juu ya kupenyeza chuki na husuda dhidi ya maamrisho ya Uislamu. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10152..f.sawahili.flv ...

Fikira zilizodhidi ya Uislamu

Mlolongo wa mitazamo ya Maadui dhidi ya Uislamu kwa kisingizio cha ugaidi, kupitia udhaifu wa waislam. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10136..f.sawahili.flv ...

Miswaada 27 iliyodhidi ya Uislamu

Mifumo mbalimbali ya Makafiri dhidi ya Uislamu kwa madai ya Ugaidi, mifumo ya Kukiuka haki za Kiubinadamu. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10135..f.sawahili.flv ...

Hitilifu za mitazamo ya Maulamaa

Kuhakiki kwa majasusi wa kizayuni katika mitazamo ya Maulamaa kwa lengo la kupoteza nguzo za Imani za Waislamu http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10153..f.sawahili.flv ...

Uharibifu wa misingi ya Dini kwa madai ya kutokuwa na ushahidi katika Qur’an

Uhamasishwaji wa vitendo vya haramu katika Dini kwa madai kwamba, ndio misingi madhubuti. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10186.f.sawahili.flv ...

Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu. Ayatullah Ali Khamenei ameyasema hayo leo katika hadhara ya wanachama wa Baraza Kuu la Kituo cha Kigezo cha Kiislamu-Kiirani cha Maendeleo. Amesema kuwa kubuni kigezo cha maendeleo cha Kiislamu na Kiirani ni sharti la kupatikana ustaarabu wa Kiislamu na kuongeza kuwa, ustaarabu wa Kiislamu hauna maana ya kuvamia nchi bali una maana ya mataifa mengine kuathirika na Uislamu kifikra. Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa lengo la Mapinduzi ya Kiislamu ni kutimiza ustaarabu wa Kiislamu. Ameashiria misingi isiyokuwa sahihi na isiyofaa ya vigezo vya maendeleo na ustawi vya kimataifa na udharura wa kutolewa kigezo kipya cha Kiislamu-Kiirani cha kazi za kijihadi na kimapinduzi na kusema kuwa: Mion ...

Mtuhumiwa wa ugaidi apandishwa kizimbani Ubelgiji

Wakati hayo yanajiri Uwanja wa  ndege wa Brussels ulioshambuliwa unatarajiwa kufunguliwa tena kesho Jumapili, baada ya milipuko ya kujitoa muhanga iliyosababisha vifo vya watu 30 katika mji huo mkuu wa Ubelgiji. Taarifa hiyo ni kwa mujibu ya mamlaka ya uwanja huo. Machi 22 watu wawili walijiripua katika eneo la kutokea la uwanja huo, wakati mwingine wa tatu alitega bomu katika njia ya chini ya ardhi ya treni karibu na mji wenye makao makuu ya Umoja wa Ulaya. Na katika hatua nyingine raia wa Ubelgiji aliyetajwa kwa  jina la Y.A. ameshitakiwa leo hii kwa kushiriki vitendo vya kundi la kigaidi kwa mujibu wa  uchunguzi wa pamoja kati ya Ufaransa na Ubelgiji uliozima njama ya mashambaulizi ya kigaidi. Katika taarifa yao waendesha mashitaka wanasema mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 33 alitiwa mbaroni jioni ya Alhamis. Aidha wamesema mashitaka yake yanahusian ...

KUNDI LA KIGAIDI LA DAESH LANYONGA WANAMBAMGO WAKE 30

KUNDI LA KIGAIDI LA DAESH LANYONGA WANAMBAMGO WAKE 30
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa ni kwamba kundi la kigaidi la daesh limesambaza picha katika mitandao ya kijamii, zikionesha kundi hilo linavyo nyonga wapambanaji wake wa kujioa mhanga kwa madai ya  kusitisha mapambano. Shirika la habari la TVSHIA linaripoti kuwa: Nukuu za Taarifa kutoka katika vyombo vya habari vya Alsumaria imeeleza kwamba, moja ya chanzo katika mitaa ya mji wa Nainawa kilisema: Watu wa kundi hilo haramu limesalimu amri kuendeleza mapambano yake na vikosi vya usalama wa vijiji vya "Kharbardan" hatimae kuacha miji ya  kusini mwa Mosel. Mwandishi huyo alietaka jina lake lifichwe anaendelea kuongeza tena: Kundi la Daesh kwa njia hii imezidi kutoa vitisho kwa wamamgambo wake na kuwalazimisha kuendeleza mapambano ili kuendelea kushikilia mji huo. Hususan katika operesheni ya mashambulizi yaliyoanza hapa karibuni yalizidi kupamba moto vikal ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.