Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Taqiya Sehemu ya tatu

Taqiya Sehemu ya tatu
1.     Taqiya ya Ammar mwanzo wa Uislamu. 2.     Taqiya katika Qur’ani. 3.     Hatari ya kuzidisha na kupunguza katika kufanya Taqiya. 4.     Asiyefanya taqiya hana Dini. 5.     Muumini daima husaidia dola ya kweli. 6.     Taqiya inahekima gani. 7.     Huwezi kutenda haramu kwa kisingizio cha taqiya. 8.     Mfano wa shia katika jamii ya Wanadamu. 9.     Ni serikali ipi, imesimama kwa misingi sahihi. Taqiya ni imani yenyewe. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10393-f-sawahili.flv ...

Taqiya Sehemu ya pili

Taqiya Sehemu ya pili
1.    Taqiya na hukumu ya kimantiki sambamba na Qur’ani 2.    Mienendo ya Manabii wa Allah mukabala na Taqiya. 3.    Mawahabi pia huzungumzia Taqiya. 4.    Kukithirisha na kuhafifisha matumizi ya Taqiya hupelekea kuharibu dini. 5.    Vile vile wanamantiki wa Duniani huikubali Taqiya. 6.    Mashia huzungumzia ubaya na uzuri wa kimantiki 7.    Taqiya ya Muumini katika Wana wa Firaun Mbinu isiyokuwa na mbadala ya Bwana Abu Taalib (a.s). http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10390-f-sawahili.flv ...

Taqiya Sehemu ya kwanza

Taqiya Sehemu ya kwanza
1.    Wapo wanaosema Shia ni muongo, pia wapo wanaosema kuwa anafanya Ria na unafiki. 2.    Madhehebu mengine yatukanishavyo Ushia 3.    Ni nini maana ya Taqiya? 4.    Taqiya kwa mujibu wa hukumu ya Kiakili na Qur’ani 5.    Taqiya ya Sahaba wa Mtume Ammar bin Yaasir mwanzoni mwa Uislamu. Utofauti baina ya Taqiya kwa Uongo, Ria na Unafiki http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10389-f-sawahili.flv ...

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya tano

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya tano
Nukta kadhaa kuhusu Ushia na Upotoshwaji wa Qur’ani Mawahabi nyuma ya pazia kwa kutaka kuharibu Uislamu na kupotosha Qur’ani Qur’ani ya Imamu Ali ni Qur’ani ya aina gani? http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10388-f-sawahili.flv   ...

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya nne

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya nne
  Riwaya za Mashia juu ya upotoshwaji wa Qur’ani Aya za Rajmi, kumnyonyesha mkubwa zimefutwa katika Qur’ani M/mke kumnyonyesha M/mme mkubwa kiumri ili kuondosha kizuizi cha uajnabi baina yao Aya 200 za Surat Ahzaab ziko wapi? Sura mbili za Muawwidhatayn si sehemu ya sura za Qur’ani Bismillahi… si sehemu ya Aya za Qur’ani. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10384-f-sawahili.flv ...

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya tatu

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya tatu
Msemaji mashhuri Bwana Noori, na upotoshwaji wa Qur’ani. Upitiaji wa wa Kitabu (فصل الخطاب فی تحريف الکتاب ربّ الأرباب). Kwanini Mawahabi huwaua Mashia? Vitabu viwili vya wapinzani huthibitisha kupotoshwa Qur’ani Pingamizi za Maulamaa juu ya Kitabu cha msemaji; Bwana Noori. Upitiaji mpya wa Kitabu cha Bwana Noori http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10383-f-sawahili.flv ...

upotoshwaji wa qur’ani sehemu ya pili

upotoshwaji wa qur’ani  sehemu ya pili
Itikadi za shia juu ya ubadilishwaji wa Qur’ani Je! Uthmani ni mkusanyaji wa kweli wa Qur’ani? Ni ipi Qur’ani ya Imamu Ali(a.s)? Mawahabi wanasema; Nusu tatu ya Qur’ani imefutika. Mawahabi wanasema; Qur’ani inamapungufu. Utafiti juu ya upotoshwaji wa Qur’ani ni mada yenye madhara kwa Uislamu.   http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10382-f-sawahili.flv ...

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya kwanza

Upotoshwaji wa Qur’ani Sehemu ya kwanza
Qur’ani Kwa mujibu wa dalili nne kuwa mashia ni makafiri. Na hivyo kumwaga damu zao ni haki na halali http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10381-f-sawahili.flv     ...

TARJUMA NA UFAFANUZI WA DUA YA ARAFA. SEHEMU YA 3

Nuru ya Mwenyeezi Mungu (s.w) inapoifikia Arshi yake,Arshi hiyo hutetemeka kutokana na Adhama kubwa ya Jina Tukufu la Mwenyeezi Mungu (s.w) ambalo ni Nuru katika Nuru,litoalo Nuru kwa kila nuru itoayo nuru.Na Arshi maana yake ni ulimwengu na vyote vilivyomo.     http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-3909.f...swahiliavi.flv   ...

TAWASSUL: Sehemu ya 1

TAWASSUL: Sehemu ya 1
Salaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh... Kulingana na matukio yote yanayotokea Ulimwenguni, na miongoni mwa dalili zake ni Kukufurishana n.k wako wanaodai kuwa ni kwa sababu ya Kufanya: Tawassal kwenye makaburi ni shirki… Nukta ni kwamba: Kila dhehebu katika madhehebu ya Shia na Sunni wanayo mahala pa ziara (Kama kaburi la Abu hanifa). Kuomba msaada kupitia Mashahidi, ni kwa sababu wao wako Hai (Hivyo kukufurisha watu wanaofanya hivyo ni kwenda kinyume na Qur’ani Surat Maida Aya 105). Muhammad Kitaaniy mwandishi wa kisalafi, anaunga mkono kuwa maisha ya Mtume (s.a.w.w) ni bora kuliko viumbe wote. Kama vile kutoa salamu katika Sala… (Je! Salam hii ni ya bure, haina thamani yoyote?) tambua kuwa Mtume wa Mungu anaona matendo yetu yote). Mfano mwengine ni pale wana wa Israeli walipomuomba Nabii Yaakub kuwaombea msamaha kwa Mwenye ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.