Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Imam Mahdi (a.t.f). Sehemu ya nne.

Imam Mahdi (a.t.f).  Sehemu ya nne.
-         Nasaba na mlolongo na yanayomhusu Imam Mahdi (a.s) -         Imam Mahdi (a.s) ni mrithi wa Manabii wa Mungu. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-11166-f-swahili.flv ...

Imam Mahdi (a.t.f). Sehemu ya tatu

Imam Mahdi (a.t.f).  Sehemu ya tatu
-         Wilaya ya Maimamu imeshamiri wanadamu wote. -         maimamu watukufu walikuwa ni wasila ya ukamilifu wa manabii wa Mungu. -         wilaya ya Maimamu imeshamiri Malaika. -         Wilaya ya Maimamu imeshamiri pia Majini. -         wilaya ya Maimamu imeshamiri wanyama. wilaya ya Maimamu imeshamiri Vitu visivyo na uhai. http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-11165-f-swahili.flv ...

NI HARAM KUMWAGA DAMU KATIKA MWEZI WA MUHARRAM

NI HARAM KUMWAGA DAMU KATIKA MWEZI WA MUHARRAM
Allah (s.w) ameharamisha vita na kumwaga damu katika Mwezi wa Muharram,lakini waovu wamemwaga Damu ya Husein bin Ali (a.s) na ambaye ni Mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) katika mwezi wa Muharram!. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-4150..f..swahili.flv   ...

TARJUMA NA SHARHI YA ZIARA YA A’SHURA

Maulamaa wetu wanasisitiza zaidi juu ya umuhimu wa kuisoma Ziara ya A’shura,na hilo ni kwa sababu Ziara ya A’shura ni ziara iliyojaa neema na baraka nyingi.Amani iwe juu yako Ewe “Aba Abdillah Al-Husein” http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-4151..f..swahili.flv ...

SHAHADA YA ALI AL-ASGHAR (A.S)

Ali Al-Asghar bin Husein (a.s) mtoto mchanga aliyekuwa na umri miezi 6 naye ni miongoni mwa Mashahidi wa Karbala.Ndio,ni kweli kwamba alikuwa mdogo kiumri lakini historia yamtambua kuwa ni miongoni mwa wale waliomnusuru Aba Abdillah Al-Husein (a.s). http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-4155..f..swahili.flv ...

UKIPATA MAJI MATAMU NA UKANYWA MKUMBUKE IMAM HUSEIN (A.S),KWA HAKIKA ALIULIWA AKIWA NA KIU KALI

Hakuna msiba kama msiba wa Imam Husein (a.s).Msiba wake ni mzito na mkubwa zaidi katika Ulimwengu wa Kiislaam.Na ndio maana tunasema:Hakuna siku kama siku yako Ewe Aba Abdillah Al-Husein (a.s) http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-4156..f..swahili.flv ...

IMAM HUSEIN (A.S): MIMI NI MUULIWA AMBAYE MUUMINI HATONIKUMBUKA ISPOKUWA ATABUBUJIKWA NA MACHOZI

Mwanadamu yeyote atakaye soma maisha yangu na historia yangu, basi atavuka na kutoka katika hali moja na kuelekea katika hali nyingine, atavuka kutoka katika giza na kuelekea kunako mwanga, atavuka kutoka katika batili na kuwa katika haki. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-3908..f...swahiliavi.flv ...

TARJUMA NA UFAFANUZI WA DUA YA ARAFA. SEHEMU YA 5

Tunakuomba ya Rabbi kwa Jina lako Tukufu ambalo Nabii wako Dhun-nuuni (Nabii Yunus) alilitumia kukuomba akiwa katika giza, ndani kabisa ya tumbo la (samaki mkubwa au) Nyangumi,na ukamuitikia dua yake,na ukamuokoa na dhiki,hivyo ndivyo unavyowaokoa waumini. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-4152..f..swahili.flv ...

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 18

Mtume (s.a.w.w) pindi alipotumwa alikuta Umma ukiwa katika hali ya kugawanyika na kutofautiana,hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia masanamu,na hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia moto.Masanamu waliyoyachonga kwa mikono yao na moto waliouwasha kwa mikono yao.Akatumwa Mtume (s.a.w.w) katika hali hiyo watu wakiwa katika giza la upotovu,akawaondoa katika giza hilo na kuwaweka katika nuru na mwangaza. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam146484..f..sawahiliok.flv ...

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 3

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 3
Himidi zote ni zake Mwenyeezi Mungu (s.w) kutokana na Neema zake mbalimbali kwa Mwanadamu.Na himidi zote ni zake Allah (s.w) kutokana na Neema zake za jumla alizoziumba mwanzo kwa ajili ya kuja kumkirimu kwazo mwanadamu kabla hata ya kumuumba mwanadmu.Maana na tofauti ya maneno haya:Neema,A’lai na Minani. http://www.tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-6152-f-Sawahili.flv ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.