Makala mpya

Dhamini kazi yetu

Wilayat al Faqeeh

-Chimbuko la Wilayat al Faqeeh ni Imam Maasum. -Ulazima wa kiongozi baada ya Imam Maasum kushikilia madaraka ya kuongoza serikali ya Kiislam. -Mwanachuono apaswa kuwa Mjuzi wa sheria ya Mungu ipasavyo. -Mpangiliaji wa mambo ya Dola ya jamii ya Kiislam.   http://tvshia.com/download/film-swahili-wp-islam14/ok-10680-f-sawahili.flv ...

JE! KUOGA NI AJILI YA USAFI PEKEE?

JE! KUOGA NI AJILI YA USAFI PEKEE?
Kuna swali humshughulisha kila mtu kwamba, ni mara ngapi tunatakiwa kuoga? Na je! Kuoga ni kwa ajili ya usafi tu? na katika hili hakuna jibu sahihi, kwa sababu wako baadhi hujifikiria wenyewe kuwa ni wasafi na hawaogi kila siku, wengine kutosheka kuoga mara tatu kwa wiki. Kuna kumbukumbu ya baadhi ya wataalamu katika uwanja wa tiba, ikiwa ni pamoja wataalamu katika magonjwa ya kuambukiza (Allen Larson) inasema kwamba: Wako watu hufikiria kuwa suala la kuoga ni kwa ajili ya usafi, na hii si kweli. Imeripotiwa katika utafiti wa matibabu ni kwamba sabuni za (antibacterial) na bidhaa nyingine za usafi si bora kuliko sabuni za kawaida katika kupunguza hatari ya magonjwa ya kuambukiza. Aidha kuzidisha sana kuoga inaweza kupunguza madini ya juu ya ngozi, na hatimae kusababisha ngozi kushambuliwa na virusi wengi.Katika utafiti wa mmoja wa madaktari alithibitisha kw ...

NI YEPI MADHARA YA KUVUTA SIGARA:

NI YEPI MADHARA YA KUVUTA SIGARA:
Je! Uvutaji wa sigara ni hatari kwa mwanadamu, nini maana ya uvutaji wa sigara? Hujengeka na nini? Ni yepi madhara yake? Tutamsaidia je! Mvutaji wa sigara ili kuepukana na uvutaji wa sigara? Bila shaka moshi ni sumu kali yenye kuathiri juu ya mwili wa binadamu vibaya, na uvutaji wa sigara ima uwe kwa ajili ya ladha kinywani au kuvuta pumzi yake. Na uvutaji huwa kwa njia mbalimbali,  ima iwe kwa njia ya sigara au (maji ya bomba) marijuana, au kutafuna tumbaku. Moshi  huwa ni wenye sumu nyingi, lakini sasa sisi tutataja misombo ya moshi muhimu zaidi, ikiwa ni pamoja na: nikotini, ambayo ni kifungu chenye sumu kali inayosababisha hali ya mwili inayoitwa "madawa ya kulevya", na madawa ya kulevya ni mwili kuwa na haja ya nikotini kwa kukuza kiwango cha nikotini katika damu, na pia hutumika katika sekta ya kuua baadhi ya aina ya wadudu. Lami pia ni sehemu ya ...

Madhara ya Sigara

Madhara ya Sigara
Miongoni mwa kanuni jumla za uislamu katika vyakula na vinywaji ni Allah kuwahalalishia waja wake: ۱٫Vilivyo vizuri ۲٫Vyenye kuwastarehesha wanapovila au huvinywa ۳٫Vyenye manufaa  Na kuwaharamishia vilivyo vibaya kwa ladha, harufu au madhara. Msingi/kanuni hii inapatikana katika kauli tukufu ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: “NA ANAWAHALALISHIA VIZURI NA KUWA HARAMISHIA VIBAYA”  (۷:۱۵۷)   Kwa kanuni hii haijuzu kisheria kwa mtu yeyote yule kula au kunywa kitu chochote kinachoidhuru afya yake na kuyatishia (kuyahatarisha) maisha yake. Hii ni kwa sababu muislamu haimiliki nafsi/roho yake mpaka akawa na uhuru wa kuitumia atakavyo ikiwa ni pamoja na kutumia yanayopelekea kuingamiza  nafsi/roho hiyo ambayo imo katika milki ya Allah. Uhai wa muislamu ni haki ya Allah aliyempa uhai huo bila ya maombi, makubaliano wala malipo yoyote k ...

Kuogezeka uvunjwaji wa haki za wanawake nchini Marekani

Kuogezeka uvunjwaji wa haki za wanawake nchini Marekani
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha makala ya wiki ambacho leo kitatupia jicho vitendo vya ukandamizaji, ubakaji na unyanyasaji dhidi ya wanawake wa Marekani inayojinadi kuwa mtetezi wa haki za binaadamu duniani, karibuni. Katika hali ambayo madola ya Magharibi hususan Marekani, yanajinadi kuwa, eti ni watetezi wa haki za binaadamu hususan haki za wanawake duniani, yanatumia suala hilo kama wenzo wa kuzidhuru nchi nyingine za dunia hususan nchi za Kiislamu. Hii ni katika hali ambayo madola hayo ya Ulaya na Marekani yenyewe ndiyo yanayoongoza katika kukanyaga waziwazi haki za kimsingi za jamii ya wanawake wa nchi hizo. Kwa mujibu wa habari rasmi, haki za wanawake katika nchi za Magharibi zimekuwa hazizingatiwi wala kupewa umuhimu wowote kivitendo. Katika kipindi hiki tutajaribu kueleza ...

Israel yaendelea kuwatia mbaroni Wapalestina

Israel yaendelea kuwatia mbaroni Wapalestina
Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameendeleza mashambulizi yao katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwatia mbaroni raia wengi wa Palestina wasio na hatia. Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni leo asubuhi wameyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wakiwemo Aziz Dweik spika wa bunge na Azzam Salhab pamoja na Bassam az-Zaarir wawakilishi wawili wa Hamas katika mji wa al Khalil. Watu walioshuhudia mashambulizi hayo ya Israel wameeleza kuwa, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni pia waliushambulia mji wa Nablos kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwafyatulia risasi na mabomu ya kutoa sauti. Vijana kadhaa wa Kipalestina wametiwa mbaroni katika shambulio hilo la leo asubuhi. Kutoka:Kiswahili.irib.ir ...

IJUE NJIA NYEPESI NA RAHISI YA KUPAMBANA NA DHULMA YA DHALIMU

IJUE NJIA NYEPESI NA RAHISI YA KUPAMBANA NA DHULMA YA DHALIMU
“IMAM HUSEIN (A.S) ANASEMA:IKIWA DINI YA MUHAMMAD HAITOSIMAMA ILA KWA KUNIUA MIMI BASI NIPO TAYARI NINYESHEWA MVUA YA MAPANGA NA MISHALE”. ————————————— HAKIKA KUNA DHULMA ZA KILA AINA,NA DHULMA KUBWA NI KUMDHULUMU MTU ANAYESIMAMA KUITETEA HAKI YAKE NA KUWATETEA WADHULUMIWA.DHULMA HIYO KWA MDHULUMIWA HUYO HUTOA VIASHIRIO KADHAA KUWA UPANDE FULANI KUNA HAKI NA UADILIFU UPENDE MWINGINE KUNA DHULMA NA UPOTEVU.UNAWEZA KUPAMBANA NA DHULMA KWA KUBEBA UPANGA AU SILAHA NA KUSIMAMA IMARA ILI KUITETEA HAKI NA UADILIFU, LAKINI HIYO SIO NJIA PEKEE YA KUITETEA HAKI BALI PIA UNAWEZA KUTUMIA NYINGINE NA NYEPESI ZAIDI NAYO AMBAYO PIA NAYO NI SILAHA ITUMIKAYO KUITETEA HAKI NA UADILIFU,NAYO NI SILAHA YA KUDHIHIRISHA UONEVU WA MWONEVU,NA DHULMA YA DHALIMU. SILAHA HII NI RAHISI KWAKO KUITUMIA NA NI RAHISI KUINGA KATIKA AKILI ZA WANADAMU WALIO ...

Fikra ya Ayatullah Murtadha Shahid Mutahhari:Kuhusu Mwanadamu.

Fikra ya Ayatullah Murtadha Shahid Mutahhari:Kuhusu Mwanadamu.
Shahidi Mtwahhari (katika picha hii hapo juu),fikra yake kuhusiana na mwanadamu,imejengeka katikamsingihuukwamba: Mwanadamu ameumbwa katika fitra (yaani:Katika Asili au maumbile). Ustadh Mutwahhari (au: Mwalimu ) anamtizama mwanadamu kama mtu mwenye heshima ya hali ya juu,aliyekirimiwa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kwa kumuumba kwa uzuri na kumpa kitu fitra (yaani:Asili ya mwanadamu aumaumbile ya ya mwanadamu ambayo hayaachani hata siku moja na mwanadamu).Yaani mwanadamu haendi kinyume na maumbile yake. Kwa maana Kwamba tukimtenga mwanadamu na (fitra) na asili yake na kuyaweka maisha yake mbali na asili (fitra) hiyo ambayo tumsema ina maana ya “maumbile ya mwanadamu”,basi tutakuwa tumemkataa mwanadamu na kuyakataa kabisa maisha ya mwanadamu. Kwani mwanadamu amesimama katika msingi wa fitra,hivyo utakapotaka kumtizama mwanadamu lazima umtizame pamoja na ...

Baadhi ya Alama za Kudhihiri kwa Imam Mahdi (a.s) Anayengojewa

Baadhi ya Alama za Kudhihiri kwa Imam Mahdi (a.s) Anayengojewa
Assalaam Alaikum ndugu Msomaji. Allah akuhifadhi uwe miongoni mwa wale watakao mdiriki Imam anayesubiriwa (a.s). Amesema Imam Ridha (a.s): Atakapo dhihiri Imam Mahdi (a.s) Ardhi itaenea nuru yake,na itawekwa mizani ya uadilifu baina ya watu,hivyo hakuna atakaye mdhulumu mwingine,naye ndiye atakayepanuliwa Ardhi,na hatokuwa na giza,na yeye ndiye atakayenadiwa na Malaika kutoka mbinguni kiasi kwamba walimwengu wote watasikia wito huo akisema: Hakika Hoja wa Mwenyeezi Mungu (s.w) amedhihiri kwenye Nyumba Tukufu ya Mwenyeezi Mungu,hivyo basi mfuateni,kwani haki iko ndani yake na pamoja nae,nayo ni kauli ya Mwenyeezi Mungu (s.w) aliposema: *إن نشأ  نُنَزِّل علیهم من السماء آیه فظلَّت أعنَاقُهُم لها خاضعین* “Tunge penda tungeli wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao”. *{Tazama: ...

Amali Zilizo Bora ya 7

Amali Zilizo Bora ya 7
Assalaamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya saba ya makala hizi fupi fupi za “Amali Zilizo Bora” ambazo ndani yake huwa tunakunukulieni baadhi ya hadith zinazozungumzia amali zilizo bora kabisa kwa mja ambazo zina thawabu nyingi kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya mafanikio ya duniani na Akhera. Miongoni mwa amali hizo ni kuwatendea mema ndugu na jamaa. Tunaanza moja kwa moja kwa hadith kutoka kwa mbora wa viumbe kwa umbo na kwa tabia, Bwana Mtume Muhammad SAW iliyomo kwenye vitabu vya Sheikh Swaduq vya al Aamaal na ‘Uyunu Akhbarur Ridha kwamba Bwana Mtume amesema: من أفضل الأعمال عند الله إبراد الأکباد الحاره وإشباع الأکباد الجائعه، والذی نفس محمد بیده لا یؤمن بی عبد یبیت شبعاناً وجاره ال ...

Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.