Makala mpya

Dhamini kazi yetu

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK/Sehemu ya 20

Miongoni mwa sifa safi na bora na za kipekee za Qur’an Tukufu ni kwamba Qur’an hii ni Nuru inayomeremeta, na ni Mwanga utoao mwangaza, na ni yenye bayana, hoja, na dalili zilizokuwa wazi.Ni Kitabu kinachofichua siri za batini zisizokuwa dhahiri na kuziweka wazi, ikiyabainisha mambo yote yaliyofichikana.Si hilo tu bali dhahiri yake pia ipo wazi na ni bayana.Kiasi kwamba wafuasi wa Qur’an Tukufu wenye kufuata amri zake na makatazo yake na kuiweka katika maisha yao wamekuwa ni sehemu ya kufanyiwa au kuonewa wivu na walimwengu wafuasi wa dini zingine.

 

ارسال یک پاسخ

Barua pepe yako haitachapishwa.
Sehemu ya lazima imeonyeshwa kwa alama ya * .

*


Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.