Makala mpya

Dhamini kazi yetu

TARJUMA NA UFAFANUZI WA DUA YA ARAFA. SEHEMU YA 5

Tunakuomba ya Rabbi kwa Jina lako Tukufu ambalo Nabii wako Dhun-nuuni (Nabii Yunus) alilitumia kukuomba akiwa katika giza, ndani kabisa ya tumbo la (samaki mkubwa au) Nyangumi,na ukamuitikia dua yake,na ukamuokoa na dhiki,hivyo ndivyo unavyowaokoa waumini.

ارسال یک پاسخ

Barua pepe yako haitachapishwa.
Sehemu ya lazima imeonyeshwa kwa alama ya * .

*


Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.