Makala mpya

Dhamini kazi yetu

TARJUMA NA UFAFANUZI WA DUA YA ARAFA. SEHEMU YA 3

Nuru ya Mwenyeezi Mungu (s.w) inapoifikia Arshi yake,Arshi hiyo hutetemeka kutokana na Adhama kubwa ya Jina Tukufu la Mwenyeezi Mungu (s.w) ambalo ni Nuru katika Nuru,litoalo Nuru kwa kila nuru itoayo nuru.Na Arshi maana yake ni ulimwengu na vyote vilivyomo.

 

 

 

ارسال یک پاسخ

Barua pepe yako haitachapishwa.
Sehemu ya lazima imeonyeshwa kwa alama ya * .

*


Wasiliana nasi | RSS | Ramani ya Tovuti

Haki zote za Tovuti hii Islam 14 zimehifadhiwa,hivyo inaruhusiwa kutumia makala yoyote ya tovuti hii sambamba na kutaja chanzo chake.